Sponsor

Jiunge nasi kupata taarifa za ajira mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali

Saturday, May 9, 2020

NAFASI MBALIMBALI ZA AJIRA SEREKALI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (NAOT), Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda, Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Halmashauri ya Wilaya ya Newala, Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa na Halmashauri ya Wilaya ya Busega, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 34 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili;-

0 comments:

Post a Comment